Selfika na JF: Snap it. Show it

No, njiwa fulani kutoka nje ya nchi kuna Uzi niliwaona asee
Hao khanga hataenda porini kweli? Mbawa zikiota? Manake sijawahi ona wakiwa free

oh sawa mkuu,ukitaka pia kasuku nenda kigoma wanauzwa.khanga wala hatoroki mkuu kuna majirani zangu huwa wanafuga yani wanaachia free kama kuku na jioni wanarudi vizuri tu ila tatizo wanataga mayai popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…