mpaka wewe;;
Kumbe tutembee vifua mbele kama asemavyo jiwe.
utawasikia walimwengu; wale wana roho ngumu, vicheche hatari! Hahaha kumbe ni wivu ee [emoji12] [emoji12]
Hahhahaha!!.
Mie muhenga nishaelewa 'not single single'..!!
Tunafanana kumbe
hahaha;
hujui tu na Mimi namna gani izo bastola zako
Zilivyonichanganya.
Najikuta nataka kukugawia ATM card hivi hivi
Mekumiss pia mamii..
Kila nikija mjini haupoo jamani
Usisahau kunitag nione
Kabisa... Ni kuwakalia Kimya tu.
[emoji39][emoji8][emoji8]Mimi pia nipo nadhurura dhurura mitaani tu,
Huku kwao SHIBOB.
Siku hizi nimekuwa mweupe? Nimemiss jina langu ngoja nifanye mpango lirudi kwa muda.
Na wewe unapenda eeh?
[emoji23][emoji23][emoji23]hii umetuingiza cha uaniMshana Jr Kaka mkubwa..aksante tunaselfika humu jamani[emoji847][emoji2960]View attachment 1221429
Safi kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji625][emoji109][emoji123]Mganga zidisha ndumba mpk tutoke huku darini[emoji23][emoji23]View attachment 1221446
JamaniiiYaaaani. Nimekua mzururaji sana. Nimejigundua mwisho wa mwezi mara nyingi niko mikoani
Kwahiyo hata wewe ile miguu uliyoweka sio yako?
[emoji23][emoji23]
Naona Huu Uzi unaenda Kasi sana..View attachment 1221323