Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja na mm nimpe hongera
Dah!mwandiko umenipa shida shule kweli..
Walimu walikuwa wananiomba niandike notsi ubaoni ilikua inanikera..

Halafu sasa kila mwalimu akiingia darasani Nyie wanafunzi andikeni Kama zagarino..!

Na rafiki zangu walikuwa wanaomba niwaandikie notsi ilinikera
 
Hongera sana, Ila kuandika notes ubaoni& kuandikia watu naona ilikuwa advantage kwako maana unakuwa ndo ushasoma kabisa tena btn lines.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…