KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,768
- 86,455
KampeniHey wakuu mniambie hii thread ni kwa ajili ya nini!?
KampeniHey wakuu mniambie hii thread ni kwa ajili ya nini!?
Sijaona picha yako weka sahivi..
Kampeni gani tena mi ka darasa kangu kadogo mnielimishe niendane na threadKampeni
Ouk au unataka kunibariki now?
Safi kila la kheri
Weka basi mrembo toto zuri walau picha yako inipatie usingizi..Nakutania,sijawahi kuweka picha yangu
Sawa mie sina neno kabisaaahHapana,nitakubariki siku nyingine
Ukiniambia siku nyingine naweka chap!![]()
Weka basi mrembo toto zuri walau picha yako inipatie usingizi..
Kampeni tu tusichoshane hujui kusoma..Kampeni gani tena mi ka darasa kangu kadogo mnielimishe niendane na thread
Mbona we ni mchoyo wa fadhira mama..? Unaweka tu sekunde 20 tu inatosha si lazima mpk makampuni mengine yakuone..!Hahahahh huu uzi naomba niwe mpenzi mtazamaji tu,kuweka picha hata siwezi kwa kweli 😂
Mi nakupenda tu mdogo wangu ila siyo kuwa nataka kukukula
Bora umuulize tu hakuna namnaUnataka kusemaje labda!!?
Unauhakika gani mi ni mdogo kwako?Mi nakupenda tu mdogo wangu ila siyo kuwa nataka kukukula
Nchi lazima ijengwe tuu
Kuna jambo ameliandika hapoBora umuulize tu hakuna namna
Mbona we ni mchoyo wa fadhira mama..? Unaweka tu sekunde 20 tu inatosha si lazima mpk makampuni mengine yakuone..!
Hiyo mantiki ndo haupo kaka😎😎😎ni bora kuendelea kujenga nchi tuKuna jambo ameliandika hapo
Lina mantiki....