Hata kama Chakorii sijawahi kuona picha yake wala kumuonana yeye
Hiyo picha siyo picha yake na wala siyo yeye mkuu Mjep
Mwandiko wake na muonekana wa hiyo picha(sura)ni vitu viwili tofauti mkuu
Kwa hiyo naungana na wewe kupinga/kukataa siyo Chakorii huyo.