Selfika na JF: Snap it. Show it

Afadhali unisaidie mkuu huyu Chakorii anataka kuleta usanii hapa
Hata kama Chakorii sijawahi kuona picha yake wala kumuonana yeye

Hiyo picha siyo picha yake na wala siyo yeye mkuu Mjep

Mwandiko wake na muonekana wa hiyo picha(sura)ni vitu viwili tofauti mkuu

Kwa hiyo naungana na wewe kupinga/kukataa siyo Chakorii huyo.
 
Umemaliza kaka mkubwa, haya Chakorii njoo ushushe mzigo halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…