Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Mimi kimbaombao haswaKwamba upo underweight au![]()
Mimi kimbaombao haswaKwamba upo underweight au![]()
Ana kwa ana ntasoma kweli mmSijajua bado
Ila nataka ana kwa ana ili ukizingua nikubomoe vizuri




What's ur BMI?Mimi kimbaombao haswa
Mi sina pepo weye..Ama kweli mkuki kwa nguruwe
Pia nyani haoni kundule
Hahaha sawaMaana yake ni hiyohiyo jamani
Sema kufafanua ndio siwezi
Haya kalale kilamba mwiko mkubwa wee..mkuu usiniroge bana pliz 🤣🤣🤣
hii si mambo ya meeting braza
sawa brazaaaHaya kalale kilamba mwiko mkubwa wee..
Sijapima hivi karibuni na sitaki kupima.What's ur BMI?
Na ukizingua nakubonda kichwa hichoAna kwa ana ntasoma kweli mm![]()

Ila ikiwa below 18 nyie wadada cndio mnapenda muwe portableSijapima hivi karibuni na sitaki kupima.
Nitapima baada ya wiki 2 kuisha..nikipima now ,nitakuwa chini ya 18 I'm sure
Yule pale anafaa kabisa.Tofauti ipo kubwa tu, yule ni EX wangu ila wewe unatakiwa uwe mke wangu kabisa.



WeeIla ikiwa below 18 nyie wadada cndio mnapenda muwe portable
Lkn nawe usiwe unanikataa mbele ya umma unaniaibisha sana.. hapa nilipo mpk nimeshaanza kulia na machozi yanatoka jicho moja tu sijui ndo kilio gani hichi..!!
Na ukizingua nakubonda kichwa hicho![]()


ntakua nashangaa tuu uumbaji wa MunguAll in All you look fine on that dress, uko msweet sana Anne! Would like to take things to.......😍😍😍
Hawezi
Duh
Wewe kaendelee kuchombeza Wake zako majukwaani hukoLkn nawe usiwe unanikataa mbele ya umma unaniaibisha sana.. hapa nilipo mpk nimeshaanza kulia na machozi yanatoka jicho moja tu sijui ndo kilio gani hichi..!!