Bmichy68
JF-Expert Member
- Sep 3, 2018
- 834
- 1,181
Nakuomba ww uwe dikshenar wangu then
Tafuta dikshenari
Nakuomba ww uwe dikshenar wangu then
Tafuta dikshenari
Weka ndiyoNiweke hapa Mimi huyu si itakuwa ni jaribio kutaka kuishambulia jf..!
mambo ya ughaibuni sio 😋
Hata Mimi kiswahili kilishanipigaga chenga kitamboNakuomba ww uwe dikshenar wangu then
Tutumie njia gan sasa Skype, zoom or?Sawa mwanafunzi wangu
Karibu kwa kuanza somo
Halafu we komamanga hulalagi au..?😘😘😘😘😘 all my life! I prayed for someone like you...and i thank God, that i finally found you.
namie nakuja huko, kama mambo yenyewe ndio hayo😂
Aaaah hamna kitu mkuu
mambo ya kubeba box tu haya
UnanioneaSawa madam Ila Leo umenitega Hadi nikategeka![]()






Hata Mimi kiswahili kilishanipigaga chenga kitambo


Sasa unataja neno usilojua maana yakeHilo pepo ntakuja kuliombea..Mbona wewe huwa sikuonei wivu?
Si yupo yule wa Songwe??all my life! I prayed for someone like you...and i thank God, that i finally found you.
Kwamba upo underweight auUnanionea
Mimi naendelea kujishangaa jinsi navyopungua Hadi nahisi BMW iko abnormal


....Aulindae mji wake analinda bure! ni maandiko tu 🤣🤣🤣🤣Halafu we komamanga hulalagi au..?
Hebu muache mke wangu kaa mbali ati fainali fainali kawaulize PSG huko nini kimewakuta fainali.
Wao si hawana virusWeka ndiyo
Huoni wenzio wanaweka
Sijajua badoTutumie njia gan sasa Skype, zoom or?
Tofauti ipo kubwa tu, yule ni EX wangu ila wewe unatakiwa uwe mke wangu kabisa.Si yupo yule wa Songwe??
Sasa Yule hana tofauti na Mimi
Mkuu mi narogaga shauli yako kalale ukue......Aulindae mji wake analinda bure! ni maandiko tu 🤣🤣🤣🤣
Maana yake ni hiyohiyo jamaniSasa unataja neno usilojua maana yake



Ama kweli mkuki kwa nguruweHilo pepo ntakuja kuliombea..
mkuu usiniroge bana pliz 🤣🤣🤣Mkuu mi narogaga shauli yako kalale ukue..