Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weka dogo
Ila kisiwe soda wala maji wala juisi tuheshimiane
IMG_20200822_213044_6.jpg
 
Hujaelewa wapi mchumba?
Maandiko hayakatazi mkristo kunywa pombe, divai wala kinywaji chochote chenye kileo ndani. Maana maandiko mengine huzungumzia kileo kwa kuhalalisha matumizi yake. Mhubiri 9:7 inaamuru, “ kunywa kileo na moyo mkunjufu.” Zaburi 104:14-15 inaeleza Mungu hutoa divai “ inayofurahisha mioyo ya wanadamu.” Amosi 9:14 inazungumzia juu ya kunywa divai kutoka kwa shamba lako kama alama ya baraka za Mungu. Isaya 55;11 inapongeza “ naam, njoo ununue divai na maziwa…”

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Sivyo wengi wenu mfanyavyo.
Kila kitu kinaenda kwa kiasi na yafaa Sana kutumia kama ukumbusho wa damu Yake lakini sivyo inavyokuwa katika ulmwengu huu wa Sasa.
Vitu vyote ni halali lakini si vyote vifaavyo.
 
Back
Top Bottom