Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,666
Namna umri unasonga majukumu nayo yanaongezeka.. huna sababu kuyakwepa..Sentensi yote na maana yake tu shem!
Ndiyo ilikuwa maana yake Shem.
Namna umri unasonga majukumu nayo yanaongezeka.. huna sababu kuyakwepa..Sentensi yote na maana yake tu shem!
Kijijini kwetuu...mwikaa
Haujambo dear ?
Ooh unaona sasa, bora nimeuliza! Ni kweli shem, umri na majukumu...Namna umri unasonga majukumu nayo yanaongezeka.. huna sababu kuyakwepa..
Ndiyo ilikuwa maana yake Shem.
Mwee jamani Mungu anipe nini mimi.
Natamani kama nikimbiekimbie JF nzima huku nawaringishia baba yangu anavyonipenda![]()
![]()




my princess!!Sijambo baby dada miss uHaujambo dear ?
Miss you more !!!Sijambo baby dada miss u
Ni Changamoto..Ooh unaona sasa, bora nimeuliza! Ni kweli shem, umri na majukumu...
Nachek thamsilia ya beautiful strangersMiss you more !!!
How are you doing today ?
Ooh nice enjoyNachek thamsilia ya beautiful strangersView attachment 1545198
Ndiooo...karibu na shule ya vunjo secBro wewe ni wa Mwika ??
Ohooo😋😋😋😋HallelujahMbuzi katoliki...hii kitu ikitengenezwa locally inakua poa sana,View attachment 1545094
Asante dyaOoh nice enjoy
Duuh Saint AnneOle wao walio hodari kunywa kileo chenye nguvu,watu waume wenye nguvu kuchanganya vileoView attachment 1545043
Ole wako

NjooooOhoooHallelujah
Dah mchumba haya maneno mazito...bado nahitaji ufafanuziHilo nitakufafanulia,usijali kabisa.
Naomba usome hapa kwanza mstari wa 22 mchumba wangu
View attachment 1545161