Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Cha kulia ugali 🙈🙈🙈Lizzy; kijiko cha nini?
Leo tu lakini🙂🙂
Cha kulia ugali 🙈🙈🙈Lizzy; kijiko cha nini?
Unaogopa utaharibu kucha zako? [emoji16][emoji16][emoji16]Cha kulia ugali [emoji85][emoji85][emoji85]
Leo tu lakini[emoji846][emoji846]
Na kutufurahisha piaLeo nimejisikia kuwachosha 🤪🤪🤪
Hahahahaa aisee jamaa wasaliti Sana leo wanasema Mimi niliwanunulia bia za wamamaBob upo na wajumbe nini? Angalia ni wasaliti hao
Umetenda hakiKaribuni early dinner....[emoji493][emoji493][emoji493]
The #BEFOREView attachment 1543102
...and the #AFTER
View attachment 1543127
4G huku kijijini nitaipata wapi?Tumia 4G
😄😄😄😄 hapana...sipo tu comfortable kula nazo😏Unaogopa utaharibu kucha zako? [emoji16][emoji16][emoji16]
Sio uvivu bana 😌😌Uvivu wa kufinyanga na kuunda tonge lenye kishimi cha mbooga katikati
Sasa ambao htuna magari tunapost nn [emoji5]