Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,840
- 51,517
Vyema sana,Ni kweli
Vyema sana,Ni kweli
Mkwepu ni mchaga ujue anabahiria coment zake
Weeeeeeee...kumbeee 🤪🤪Mkwepu ni mchaga ujue anabahiria coment zake
@Makiseo njoo umwone ndugu yako.
Masimango yenu ndiyo yananifanya niukwepe uzi huu. Punguzeni kuninyanyasa jamani
Ila huyu ndugu yetu huyutumvumilie tu.

Wewe namna umetusimanga hujaona? Zamu yako sasa.. Kaa kwa kutuliaMasimango yenu ndiyo yananifanya niukwepe uzi huu. Punguzeni kuninyanyasa jamani![]()

Bob upo na wajumbe nini? Angalia ni wasaliti haoTunapooza regetorView attachment 1541509
Kweli uwoga kama wa kunguruUwoga ndo akili jirani![]()
NdioooooooKweli uwoga kama wa kunguru
Wewe binti ulale sasa..Ndiooooooo
Karibu Tulale mkuuWewe binti ulale sasa..
Wewe binti ulale sasa..
Mlale sasa picha hamleti ,mnaleta story tuKaribu Tulale mkuu
Wengine tupo lindoni mangi.Mlale sasa picha hamleti ,mnaleta story tu

Nyie laleni tu mi nalind JF isiibiweMlale sasa picha hamleti ,mnaleta story tu




Hahahaha, tunalinda wote ,wasije kukuiba na wewe bureNyie laleni tu mi nalind JF isiibiwe
Lindoni tuko pamojaWengine tupo lindoni mangi.![]()