Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Wajuba wanakuzoom tuu😅Hamna simfuati ni maneno ya faraja tunapeana .
Wajuba wanakuzoom tuu😅Hamna simfuati ni maneno ya faraja tunapeana .
Weweeeee acha kunizuga basi😅😅😅Hahha maneno tu haya , nina aibu kichizi
C'mon hii ni chitchatWajuba wanakuzoom tuu😅
Mambo yamenoga 💃Wozaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhh...🥰🥰🥰🥰
Relax..usijenimind bure..ni utani aiseC'mon hii ni chitchat
It's okayRelax..usijenimind bure..ni utani aise
Hapo kweli itabidi akaushe tu .Basi atulie..kama kashindwa kutengeneza ukaribu au kumchana live😅😅bora akaushe tu
Nimeshayaona ni 🔥🔥🔥Mambo yamenoga 💃
Hapo itabidi azungumze na moyo waje upate kumsikiliza😅😅Hapo kweli itabidi akaushe tu .
Aisee kazi kwake linahbabyNdo mpka akuelewe sasa🤪🤪
Namuelewa linahbaby ..
Nilishawahi kumpenda mtu humu ni kinyama aiseeh kila nikikuona comments zake napata furaha ya ajabu aiseeh..ni marufuku kumwambia hata iweje
Hahahaha hamn dada akeMtext bhana kama una crush naye useme mapema itakusaidia sana maan utatoa kitu moyoni ....
Kweli kabisa ...wanawake tunakosea sana kuingia mzima mzimaNimeshayaona ni 🔥🔥🔥
Asije tu akatafunwa akapigwa chini akiwa bado anampenda😅😅
Mwambie shogaa akuwe makini 🤣🤣
Sijakuona mbnWakati mimi nimefanyaje Mrembo
Hahahaha Nakuelewa kichiziNaona unanichimba shogaa..😅😅😅😅ngarobobobobobobo sichimbiki😅😅😅😅😅
Karibu ila tafuta wajumbe wasio salitiHili jimbo najipanga kutangaza nia kabisaaa ili nitoke ngoma droo na wanasiasa wanao wania majimbo ya kisiasa.