Mnazareth JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 3,474 Reaction score 7,407 Aug 16, 2020 #68,701 mtu chake said: Hahahaha, eti MTU anaumizwa PM,nimecheka sana ,Hahahaha Click to expand... Jana ilibaki kidogo nikupe onyo mana kuna sehemu niliona unaliwa Timing Ila nikakumbuka wewe mzee wa mjini huwezi kuingizwa line
mtu chake said: Hahahaha, eti MTU anaumizwa PM,nimecheka sana ,Hahahaha Click to expand... Jana ilibaki kidogo nikupe onyo mana kuna sehemu niliona unaliwa Timing Ila nikakumbuka wewe mzee wa mjini huwezi kuingizwa line
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,602 Reaction score 119,755 Aug 16, 2020 #68,702 Makiseo said: Miss you big time Shem. Click to expand... Miss you too shem, still waiting...
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Aug 16, 2020 #68,703 Mnazareth said: Jana ilibaki kidogo nikupe onyo mana kuna sehemu niliona unaliwa Timing Ila nikakumbuka wewe mzee wa mjini huwezi kuingizwa line Click to expand... Hahaha Mtu chake bhana , alikuwa anaingia kwenye shimo la Ngiri kwa kichwa..
Mnazareth said: Jana ilibaki kidogo nikupe onyo mana kuna sehemu niliona unaliwa Timing Ila nikakumbuka wewe mzee wa mjini huwezi kuingizwa line Click to expand... Hahaha Mtu chake bhana , alikuwa anaingia kwenye shimo la Ngiri kwa kichwa..
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,602 Reaction score 119,755 Aug 16, 2020 #68,704 Jael said: @Eli79 mambo yako haya baby, njoo tusafishe macho. Click to expand... Nimepitwa babe, nimepitwa. Hata wewe una siku nyingi hujatupiamo ile shingo ya mviringo ninayoi.........!!
Jael said: @Eli79 mambo yako haya baby, njoo tusafishe macho. Click to expand... Nimepitwa babe, nimepitwa. Hata wewe una siku nyingi hujatupiamo ile shingo ya mviringo ninayoi.........!!
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,087 Reaction score 23,871 Aug 16, 2020 #68,705 Transcend said: Mzee baba vipi? Ulizama PM nini ukakutana na uncle kama wewe Click to expand... sifatagi Sura mpya PM mkuu,na mpk nifate mtu PM... basi nmejiridhisha nae hivyo sibahatishagi hata kdg... sema kuna ile kitu yakuchezwa na machale,ndio inankuta sasa...
Transcend said: Mzee baba vipi? Ulizama PM nini ukakutana na uncle kama wewe Click to expand... sifatagi Sura mpya PM mkuu,na mpk nifate mtu PM... basi nmejiridhisha nae hivyo sibahatishagi hata kdg... sema kuna ile kitu yakuchezwa na machale,ndio inankuta sasa...
Makiwendo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 10,031 Reaction score 34,667 Aug 16, 2020 #68,706 Eli79 said: Miss you too shem, still waiting... Click to expand... Ok Shem.. Nakumbuka.
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Aug 16, 2020 #68,707 Depal said: Poleni sana mabaharia... Njoo kwanza nikwambie kitu piemu Click to expand...
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Aug 16, 2020 #68,708 CONTROLA said: sifatagi Sura mpya PM mkuu,na mpk nifate mtu PM... basi nmejiridhisha nae hivyo sibahatishagi hata kdg... sema kuna ile kitu yakuchezwa na machale,ndio inankuta sasa... Click to expand... Vema kama unachezwa na chale... Piemu ni kutamu na wakati huo huo kunaweza kuwa kuchungu..
CONTROLA said: sifatagi Sura mpya PM mkuu,na mpk nifate mtu PM... basi nmejiridhisha nae hivyo sibahatishagi hata kdg... sema kuna ile kitu yakuchezwa na machale,ndio inankuta sasa... Click to expand... Vema kama unachezwa na chale... Piemu ni kutamu na wakati huo huo kunaweza kuwa kuchungu..
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,602 Reaction score 119,755 Aug 16, 2020 #68,709 Makiseo said: Ok Shem.. Nakumbuka. Click to expand... Ewaaa, sasa do the needful shem wangu mzuri!
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,087 Reaction score 23,871 Aug 16, 2020 #68,710 Depal said: Haha muwe mnatutumia tu jamani, zile hela zinakuwaga tamu sana sijui kwanini... Click to expand... kweli zile hela tamu sana huwa inakuaga kama ile unatembea ghalfla msimbazi huu hapa chini,utamu wake n undifined yani sema hamna kitu inauma roho na inatia simanzi kama ile unatuma nauli "mtu hatokei" ile maumivu yake unaweza tamani hata apite mtu akukere ummalizie hasira sema ndio hyo siku hamna ataekukera wala kukuudhi kwahyo unabaki na donge lako moyoni linatokota.
Depal said: Haha muwe mnatutumia tu jamani, zile hela zinakuwaga tamu sana sijui kwanini... Click to expand... kweli zile hela tamu sana huwa inakuaga kama ile unatembea ghalfla msimbazi huu hapa chini,utamu wake n undifined yani sema hamna kitu inauma roho na inatia simanzi kama ile unatuma nauli "mtu hatokei" ile maumivu yake unaweza tamani hata apite mtu akukere ummalizie hasira sema ndio hyo siku hamna ataekukera wala kukuudhi kwahyo unabaki na donge lako moyoni linatokota.
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,087 Reaction score 23,871 Aug 16, 2020 #68,711 Transcend said: Vema kama unachezwa na chale... Piemu ni kutamu na wakati huo huo kunaweza kuwa kuchungu.. Click to expand... pm kuchungu tu pm chache sana tamu,imagine unachat na mtu pm.. ila wote mnaliana denge yani mpk uotee mtu muende sawa pm shughuli.. ndio maana nayakataga mawasiliaano ya kule maana sionagi hata utofaut na huku nnje...
Transcend said: Vema kama unachezwa na chale... Piemu ni kutamu na wakati huo huo kunaweza kuwa kuchungu.. Click to expand... pm kuchungu tu pm chache sana tamu,imagine unachat na mtu pm.. ila wote mnaliana denge yani mpk uotee mtu muende sawa pm shughuli.. ndio maana nayakataga mawasiliaano ya kule maana sionagi hata utofaut na huku nnje...
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,087 Reaction score 23,871 Aug 16, 2020 #68,712 mtu chake said: Hahahaha, dah kuna kitu najifunza ktk hii Click to expand... Bora umewahi mapema kujifunza theory maana ungechelewa kidogo tu ungejifunza Practical na hamnaga mwanafnzi wa practical haelewi,somo lingekukaa ipasavyo.
mtu chake said: Hahahaha, dah kuna kitu najifunza ktk hii Click to expand... Bora umewahi mapema kujifunza theory maana ungechelewa kidogo tu ungejifunza Practical na hamnaga mwanafnzi wa practical haelewi,somo lingekukaa ipasavyo.
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Aug 16, 2020 #68,713 Depal said: Hahaha Ya Mshubate haya yakamkuta Hazard CFC Click to expand... Kuna yaliemkuta tena??
moj6 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2017 Posts 3,354 Reaction score 5,007 Aug 16, 2020 #68,714 Kumbe humu ndani kuna pisi Kali kama za insta? California love
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,087 Reaction score 23,871 Aug 16, 2020 #68,715 Yani huu uzi kuna watu watautolea shuhuda siku 1 ulivyowaumiza... tusubiri tu hizi shuhuda mwakani mwakani hivi kuendelea,saivi acha... wanaowekwa kwenye mabano wawekwe,ila najua soon shuhuda zitaanza...
Yani huu uzi kuna watu watautolea shuhuda siku 1 ulivyowaumiza... tusubiri tu hizi shuhuda mwakani mwakani hivi kuendelea,saivi acha... wanaowekwa kwenye mabano wawekwe,ila najua soon shuhuda zitaanza...
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Aug 16, 2020 #68,716 Mzigua90 said: Nimeshiba sasa, miguu juu na Heineken inashuka taratiibu. Siku imeanza. Njoo ukule mdudu Tangi bovuView attachment 1539087View attachment 1539088 Click to expand... Leo nipo tabata naona kabisa nikitambaaa
Mzigua90 said: Nimeshiba sasa, miguu juu na Heineken inashuka taratiibu. Siku imeanza. Njoo ukule mdudu Tangi bovuView attachment 1539087View attachment 1539088 Click to expand... Leo nipo tabata naona kabisa nikitambaaa
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,283 Aug 16, 2020 #68,717 Haha wahuni sio watu wazuri.. Hazard CFC said: Kuna yaliemkuta tena?? Click to expand...
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,393 Reaction score 59,137 Aug 16, 2020 #68,718 CONTROLA said: Yani huu uzi kuna watu watautolea shuhuda siku 1 ulivyowaumiza... tusubiri tu hizi shuhuda mwakani mwakani hivi kuendelea,saivi acha... wanaowekwa kwenye mabano wawekwe,ila najua soon shuhuda zitaanza... Click to expand... Usitutetemesheeeee na usitushirikisheeeee
CONTROLA said: Yani huu uzi kuna watu watautolea shuhuda siku 1 ulivyowaumiza... tusubiri tu hizi shuhuda mwakani mwakani hivi kuendelea,saivi acha... wanaowekwa kwenye mabano wawekwe,ila najua soon shuhuda zitaanza... Click to expand... Usitutetemesheeeee na usitushirikisheeeee
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Aug 16, 2020 #68,720 Depal said: Haha wahuni sio watu wazuri.. Click to expand... Kuna yule aliepost screenshot ya wallpaper nina wasiwasi ni njembaa
Depal said: Haha wahuni sio watu wazuri.. Click to expand... Kuna yule aliepost screenshot ya wallpaper nina wasiwasi ni njembaa