Sawa upande wa chini nitakukatia kesho mkuuAiyaaaa...Basi tena nilitaka wa chini.
Wooozah🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️Hahahaaa.. nashiba kwanza halafu nianze siku, party after party
Ushamghairi muiraki?Natangaza nia
California love
KwaniniWeekend kwangu leo ni nzito sanaView attachment 1538988
ChakoriiWew si wa kulidelete lile li msambwanda yna2
Mambo aje T 1990 ELYChakorii
Huyo mtoto ana tabia mbaya.Si kule ninapokuanaga na kale katoto
Mvua inakata stimu

AbeeeNimekuita sijakusalimia mkuu
Ebu itika kwanza![]()
Wacha wee...natumai hii hujaiendea kwa mista gugo
Wacha weeee

Ooh yeah hiyo vipi😅😅Ooh!!Yeah
Mambo vipi mkuu