Yaani
Depal hiyo imechanwa kistaarabu mno.
Taasisi yoyote ya watu binafsi unaingia nayo na unahudumiwa kwa heshima zote.
Bana bana kuna michano mengine ni balaaa.
Halafu imechanwa chanwa, kichwani kuna bleach
na nywele zenyewe hazijachanwa pia zimevurugwa
.