Aah vingine vinavukaa πVimini havina shida Sana
Ili mradi visivuke magoti.
Huyo mama mzuri Sana[emoji122]
Kesho misa ya kwanza na kimini amazing kama hiki π Yesu akinibariki nitatupia picha muone πΆ
Safi sana.Aah vingine vinavukaa [emoji12]
Mama angu ni mtata sana linapokuja suala la malezi, mama angu ukivaa skini jeans hutembei nae
Boss of all bosses π
Haha acha hizo basiAah vimini sikushauri uache maana mguu wa kuvalia vimini unao
Huku salama Tansy, habari za huko?Hahha vizuri vipi habari ya huko ?
Nzuri aiseeHuku salama Tansy, habari za huko?
Siwezi kutoaEmbu ngoja kwanza mtakatifu..
Huwezi kutoa au unakuwa huna hela kwa wakati huo..hebu weka vizuri
[emoji7][emoji7][emoji7]
Hii hapa nzuri
AiseeeTuko tofauti aiseh hongera.
Sikumbuki kama nilishawahi kuwa nanguo ndefu mbali na suruali.na hizo suruali zenyewe ni marufuku kufika mpaka chini[emoji28][emoji28]
Tupo hapa tutasubiriKesho misa ya kwanza na kimini amazing kama hiki [emoji12] Yesu akinibariki nitatupia picha muone [emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muone [emoji3][emoji3] me mwenyewe kuna baadhi ya vitu ukivaa ama kuweka hakiii hutoboi kuongozana na mimi..
Wewe Anne hebu acha basi[emoji23]Nikakuambia nini?
Huu si msonyo jamani!?!?[emoji57][emoji57]
Haha hiyo tunaenda sawa bana, nina gauni hiyo ni ndefu nikivaaga nasifiwa π ila sifa zao hazijanishawishi bado kujaza hata shelf ya kabati nguo za vitenge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Isiwe tu magauni marefu
Weka picha hapaWewe Anne hebu acha basi[emoji23]
Embu tuioneHaha hiyo tunaenda sawa bana, nina gauni hiyo ni ndefu nikivaaga nasifiwa [emoji3] ila sifa zao hazijanishawishi bado kujaza hata shelf ya kabati nguo za vitenge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha hiyo tunaenda sawa bana, nina gauni hiyo ni ndefu nikivaaga nasifiwa [emoji3] ila sifa zao hazijanishawishi bado kujaza hata shelf ya kabati nguo za vitenge