Nilishtuka saa 8 nakuta ndio unafurahia imetoka ππNilipost picha yangu halafu zilivyo na kiherehere zikaingia 3. Uzuri tulikua macho wachache [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanini umeanza na "kama"?
Swagaless πHakika[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7].
Wanaoponda wengi Cha ajabu nao Ni wa hovyo tu
Halafu ilikuwa mida hio hio tu punde baada kutoka[emoji26][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rufiji hii
AiseeTumieni jicho la tatuView attachment 1221286
NdaghaSijaziona Ujue..
Tununu Twarughunju??
Huku kanembwa huku..Ngoja nitulieKigoma kuna udongo mwekundu kweli, hasa kwenye kambi za jeshi za Kanembwa na Bulombora.
Tumbembeleze atume tena etiHalafu ilikuwa mida hio hio tu punde baada kutoka[emoji26]
Kwahiyo hata wewe ile miguu uliyoweka sio yako?
Haha vipi asubuhi yako mbaya nini??Ndagha
Ipi hiyo?Huu uzi ume prove thesis moja ya professa wangu
Kabisa.Tumbembeleze atume tena eti
Unapajua?? Ulipiga mujibu huko nini??Huku kanembwa huku..Ngoja nitulie
[emoji23][emoji23]Kwanini?Haha vipi asubuhi yako mbaya nini??