Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hebu tupieni tumuaibishe shetani jamani ungeona nilivyo bize, tangu saa nane sijachungulia saiv nikasema ngoja nichungulie ndo nikakutana na maua mazuri mazuri kwa uroho nikajisemea hata sikubali yanipite,,


Miminimama mizigo yako niliyoisave jana imenijazia simu kweli muzigo ni mujigo
Haha!!
Kioneee!!
 
Back
Top Bottom