Aiseee
Mimi utadhani nina kiwanda Cha vitenge..na hivi siku hizi natengeneza batiki.
Yaani naeza vaa vitenge mwezi mzima bila kurudia.
Hivi wanauzaga sh ngapi tule tujeans nipate pa kuanzia[emoji4]
Nimefurahi Mkuu .Nini tena
Mimi Sina shida na muonekano[emoji16][emoji16][emoji16] Anna kwani unachagua Mchumba kwa muonekano? Si unajua vile wanaume wazuri kwa muonekano wanavyotesa!
Waache wao wakaka wachague kwa muonekano maana wanaonaga kwanza kisha wanapenda!
Haya fanya kuweka picha kompliti wifi nifanye kazi maana tabia nishaipenda![emoji3]
Tobaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Suruali za bwanga je ?
Elfu 40!?[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inategemea na sehemu unayonunua mama! Ziko kuanzia za elfu 6 hadi za elfu 40 wewe tu!
Ohooo...ni kweli aise..Mimi inategemea na mtu aliyevaa yukoje ndiyo naweza nikapenda au nikachukia au hata zile zilizokatwa chini na hazijapindwa!
Mimi binafsi zimenipitia kushoto kabisa hata hizi suruali za high waist nazo huwa siyo mshabiki japo hizi ndiyo napenda nione mdada kavaa!
Geuka [emoji7]Hahhha mambo
Hahha umenichekeshaTobaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo hizi wanaita jeje sijui jeji???
Kuna watu wakivaaga wanakuwa Kama vichaa,unakuta wamekunja kunja miguuni yaani.
Kwanza kabisa usiniite mkuu..Nimefurahi Mkuu .
Nimejitahidi diet kweli miezi hii lakini sioni changes kihivyo nafeli wapi ?
Mtakatifu kwani una ishi nchi gani hebu tuanzie hapo🤣🤣🤣Elfu 40!?[emoji134]
Hazipo za elfu mbili?
Hahaha sio kwa high waist hiyoOhooo...ni kweli aise..
😅😅😅nguo yoyote itakayochanwa bila sababu ni big no aiseh.
Ila kuna high waist ni nzuri nazipenda..
😅😅kuna ile unakuta mdada kupiga high waist mpka kwenye maziwa huko😅😅😅😅na mjanja juu🙆😆😆hapana aiseh
Zile za mwaka jana
Basi zilinipita hizoHapana za mwaka huu
Kwahiyo sarakasi ziboreshwe sio🤣🤣
Elfu 2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtakatifu kwani una ishi nchi gani hebu tuanzie hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]