Duh huko sasa usifikeNatafuta mwanasheria wa kuufuta maana unanifanyia mambo meusi sana.
Sasa kaka angu akikupeleka ulaya wakati wa winter utavaa nini?😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina hata ya kusingizia.
Unajua cha kufanya ili nisifike.Duh huko sasa usifike
Hahaha AnneSasa endelea kufurahi
Siku nikikufwata utanipa album nzima
Duh basi nitafanya...Unajua cha kufanya ili nisifike.
Mikwara hyo[emoji16]Hatujamuona
Usitutetemeshe[emoji3]
Weka picha wewe
Bora ujisalimishe uweke hapaHahaha Anne
Usinitishe[emoji3]Mikwara hyo[emoji16]
Vipi broDaaaaa aiseee
Hahaha Anne kumbe mikwara unaiwezaBora ujisalimishe uweke hapa
Bila hivyo nikija huko nitakutetemesha Hadi kitambi kidondoke
Karbu sister![emoji39][emoji39]
Hilo neno baya aiseeLadies first hujui!??
Nitamtia aibu na magauni yangu mwendokasi ya vitenge[emoji23][emoji23]Sasa kaka angu akikupeleka ulaya wakati wa winter utavaa nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Jifunze kuvaa jinzi japo ujue saizi gani inakutosha....Hahahaaa
Haya weka sasaHilo neno baya aisee
Nizivalie wapi [emoji23] [emoji23][emoji23]
Kwanza sina
Hakuna namna[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha Anne kumbe mikwara unaiweza
Nasubiri.Duh basi nitafanya...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mwee
Asante, umenitamanisha sana.Karbu sister!
Tunataka picha yakoKarbu sister!