hata mimi sijui alichomaanisha ila tu umenichekesha ulivyomaanisha vingine, inaonekana siku hizi kila kitu kina maana nzuri na mbaya maana sikutegemea kama hadi chachandu nayo inaweza kuwa na maana nyingine zaidi ya hii tunayoijua.