Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we unadhani mie umomi nimeanza kumsoma leo, vituko vyake na malalamiko yake nilianza kusoma kitambo na ndiyo maana ikawa rahisi kugundua kuwa yule mtu hana stress kiasi kile kama watu wengi walivyokuwa wanadhani.
 
Nilisoma zile ulizokuwa unafunguka hadi miaka Yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikasoma na za Lizarazu...
Nikaenda kumsoma na Kapeace...nikasoma na ule mtifuano ulitokeaga humu[emoji2092]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh wewe ulienda mbali. Mimi mara nyingi huwa nasoma zile tulizokuwa tunachat na kina Jael na Sakayo na cute b na Watu8.
 
No hapo nilikuwa naongelea huu uzi. Huo anaousemea Saint Anne hata mimi sijaumanya bado eti Saint Anne katutag wenzio kwenye huo uzi au tuletee link hapa.
Bahati mbaya sijui kuweka link[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikiwatag notifications zinawafikia.?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we unadhani mie umomi nimeanza kumsoma leo, vituko vyake na malalamiko yake nilianza kusoma kitambo na ndiyo maana ikawa rahisi kugundua kuwa yule mtu hana stress kiasi kile kama watu wengi walivyokuwa wanadhani.
Duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nilikuwa sijawahi kumuona
 
Bahati mbaya sijui kuweka link[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikiwatag notifications zinawafikia.?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dooh halafu ndiyo umenikumbusha kumbe tuna tatizo la notifications, kichwa cha huo uzi kinasemaje.
 
Rory
Aurora

Aise kumbe ndiyo wewe? Habari za kupotea mkuu?
Nilikuwa najiuliza siku hizi umepotelea wapi kumbe upo nasi humu humu? Halafu mkuu hivi unaendaga kwa mod gani huyo anayekubali kukubadilishia usernames muda wowote unaotaka mbona mimi wamenizingua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…