Selfika na JF: Snap it. Show it

Wale wa kutupachika single mother nilishawazoea mbona
Tena kuna mwingine kanipachika mchana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wapambane na hali zao na saikolojia zao[emoji2092]
Maisha ni mafupi sana kuwa siriaz kila muda
 
Wapambane na hali zao.
Maisha ni mafupi sana kuwa siriaz kila muda
Nakuonaga sana MMU unatetea haki za single mother[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wale wa kutupachika single mother nilishawazoea mbona
Tena kuna mwingine kanipachika mchana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wapambane na hali zao na saikolojia zao[emoji2092]
Maisha ni mafupi sana kuwa siriaz kila muda
Kwani humu mtu akikubandika jina kwani anakulisha?tumo humu kufurahi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…