Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tena mapepo ya kikwao kabisa
Kuna watu nilikuwa najiandaa kuwaomba picha zao ila wameweka Kama muujiza hivi halafu Hili app[emoji856]

Nitunzie picha zote zilizowekwa.
Hasa ya Tanayzer mgeni
 
Mwee[emoji134]
Wote mmenikuta hapa ila mmeona mimi sijaona [emoji53]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole mimi nakucheka hapa wakati mwenyewe natumia app kwahiyo na mimi muda wowote naweza anza kuona hayo mashikolo, yaani app users siyo wa kuchekana kabisa mwenzako akinyolewa we zako tia maji tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndo km mie hivyooh, natulia kuona maruhani yakija kwangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…