Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,556
- 235,330
Yaani Wewe ni wa kuninyanyasa hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wallah safari hii nitakunyanyasa hadi ukome[emoji1787]Ah basi kumbe hutaki picha wewe
[emoji23][emoji23]nuts!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hampendi kuandika kwa mikono yenu jamani
Mwee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niko slow kwenye kuandika halafu nina kigugumizi cha kuandika sijui unakipata? Yaani ile mtu unaandika herufi mojamoja unakuwa unairudiarudia hadi unakuwa kama unaichora halafu kuna baadhi ya herufi zangu hazieleweki namna zilivyokaa na mbaya zaidi nina limwandiko likuuuuubwa hilo duuh!
Yaani Wewe ni wa kuninyanyasa hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wallah safari hii nitakunyanyasa hadi ukome[emoji1787]
Subiri utaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aahh wewe siyo wa kunifanyia hivo mimi
Mwee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natamani niuone
Back in the day, there used to be this radio programme on Clouds FM on Fridays called 'The Weekenda'. Hosted by ML Chris and Antonio from Cuba. It was the truth. They introduced me this jam, and I've been jammin' to it ever since. Happy Sunday y'all.
View attachment 1532362
Subiri utaona[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ntakuwa najibu kama sitaki
Mpe salam zangu, tunafurahi kusikia yupo salama.Yeah anasema kapumzika kwanza na JF! Ila kasema amekumiss mnoooooo!
Anhaaaa[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787] najua hauwezi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ah wapi na nilivyo mvivu kuandika hadi ukute nimejiandikilisha sehemu hovyo tu siyo rahisi
Mimi hii hali imeanza kunisumbua muda sana nikachukilia kawaida tu ila tangu juzi sipati notification ndipo nilipo gundua kuwa app imeanza utopolo wake.App ishaanza uchawi wake[emoji26]View attachment 1532433