Huenda kwa vile una mwandiko mzuri!!!Wengine tunajaza daftari kwa siku[emoji3]
Ni muda tu, nadhani kuna muda utafika na mimi nitasahau maswala ya kuandika
Japo napenda Sana kuandika..haiwezi pita siku sijaandika chochote.
Ni imani yangu umenitunzia zote zilizonipita[emoji4]
Mwandiko wangu si mzuri ila najua tu kuupangilia hasahasa kwenye karatasi plain isiyo na mistari yaani huwa sipindishi.[emoji7][emoji7] una muandiko mzuri
Hivi na mimi nimo kwenye Watu wenye miandiko mizuri?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huenda kwa vile una mwandiko mzuri!!!
Nilikuwa kuchangamsha mdomo MMU huko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengine tunajaza daftari kwa siku[emoji3]
Ni muda tu, nadhani kuna muda utafika na mimi nitasahau maswala ya kuandika
Japo napenda Sana kuandika..haiwezi pita siku sijaandika chochote.
Giza hatuoni mkuu.
Maisha yananifanya niandike[emoji23]Duuh hongera sana aise natamani ningekuwa na spirit kama yako. Mie mvivu sana kuandika.
Umeshindaje?Hi babe [emoji7]
Mwandiko wangu si mzuri ila najua tu kuupangilia hasahasa kwenye karatasi plain isiyo na mistari yaani huwa sipindishi.
Mimi naweza zaidi kwenye karatasi plain kuliko yenye mistariAise mimi ukitaka kuniaibisha nipe karatasi plain niandike yaani mistari inapinda. Na nilivyo na muandiko mbaya kama bata kapita ndiyo kabisa.
Nilikuwa kuchangamsha mdomo MMU huko.
Baadaye nizikute picha kule[emoji4][emoji4]
Halafu nitajibu vile viporo vya maswali yako,[emoji23][emoji23][emoji23]
A wapiJibu kwanza maswali yangu halafu nami ndio nikutumie picha! Deal?
Mimi naweza zaidi kwenye karatasi plain kuliko yenye mistari
I wish humu ndani siku moja tuchat kwa miandiko yetu..
Wallah Kuna comments tutashindwa kuzisoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2092][emoji2092][emoji2092]
A wapi
Tunaenda zamu kwa zamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko kutakuwa ni kutaka kuaibishana sasa, tuache tu teknolojia ifanye kazi yake tusitake kuchoshana aise.