Dah! Haya mambo haya... Kuna siku ukimya huuu kutojishughulisha na stranger nikaambiwa dada inaonekana una dharau za viwango. Nilijiskia vibaya rohoni ila ndiyo nikaendelea kuuchuna tu.
Kwanza mada inahusu nini? Maana nilivyotokea ghafla..
Good evening.View attachment 1532221
Umeshindaje ma?[emoji8][emoji8][emoji8] [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Yooooooo. Good evening madam.
Umeshindaje ma?
Twende tukazurure.Salama kipenzi hofu kwako
Twende tukazurure.
[emoji173]Natural all day,everyday
Eti Hawachi ile offer ya buku buku kwa kila mwana JF kama nikiweka picha bado ipo?
View attachment 1298079
Siwezi kukuombea hapa hadharanii mamiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Soon babe...Weka picha basi totoo
Nimepitwa [emoji2307][emoji2307][emoji24][emoji8][emoji8][emoji8] [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Yooooooo. Good evening madam.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli mwandiko mzuri sana lakini unachanganya herufi kubwa na ndogo, nitakukata marks [emoji1787][emoji1787]
View attachment 1532161
Ni imani yangu umenitunzia zote zilizonipita[emoji4][emoji8][emoji8][emoji8] [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Yooooooo. Good evening madam.
Hello love!Nimepitwa [emoji2307][emoji2307][emoji24]
Hi babe 😍Hello love!
Soon babe...
Siku nikiambiwa niandike pages mbili kwa mkono nadhani vidole vitauma sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Boss katika vitu nimeshindwa ni kuandika "t" na kuweka hicho kimkato katikati..yaani najikuta naweka juu kabisa Tena naweza weka juu Zaidi ya hapo.
Nimejikuta nazoea kuweka huo mkato baada ya kumaliza kuandika neno.
Halafu haya mazoea yamejenga tabia
Nina tatizo hilo na kwenye kuandika H[emoji1787][emoji85]View attachment 1532270View attachment 1532272
Nimepitwa [emoji2307][emoji2307][emoji24]
Mwambie mamako namsubiri, aweke nyingine nisafishe macho!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana baba
Wengine tunajaza daftari kwa siku[emoji3]Siku nikiambiwa niandike pages mbili kwa mkono nadhani vidole vitauma sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Boss katika vitu nimeshindwa ni kuandika "t" na kuweka hicho kimkato katikati..yaani najikuta naweka juu kabisa Tena naweza weka juu Zaidi ya hapo.
Nimejikuta nazoea kuweka huo mkato baada ya kumaliza kuandika neno.
Halafu haya mazoea yamejenga tabia
Nina tatizo hilo na kwenye kuandika H[emoji1787][emoji85]View attachment 1532270View attachment 1532272