Selfika na JF: Snap it. Show it

Duh pole sana ila sasa unakuwaje na maisha ya Usingle sasa!!

Mh mpaka mwezi wa kumi na mbili kazi si itakuwepo!??!
 
Duh pole sana ila sasa unakuwaje na maisha ya Usingle sasa!!

Mh mpaka mwezi wa kumi na mbili kazi si itakuwepo!??!
Hivi nikisema single mnaelewaje? Me namaanisha vile kuishi mwenyewe lazima upate uvivu wa kupika pika.

Kazi haipo nishafika 53 eti. We nipe tips tu nifike 56 mwisho. Nikinenepa sana nitakuwa na mashavu me sitaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…