Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,620
- 69,356
Sema SUU
Naomba bonus
Naomba bonus
Baado sana
Hahaha iweke tu aisee hakuna shida yeyote
Sema SUU
Ngoja tu niwe mpole maanaSema SUU

Leo meweka...Hahaha wewe leo sijaona yako ila tu mi nataka ya mwanya irudiwe
Ngoja tu niwe mpole maanaSema SUU
Yule babu aweze mie nishindwe kweeeliiNakupenda ndio maana
Leo meweka...
Kitu cha Arusha, ila mefungaa mdomo
Hiyo Imenipita lazima
yani huu uzi bila ubishi unaweza shinda humu na kulala humu







Hahahah muda huu ndo mzuri kutupia maana binadamu nyingi wamelalaNapenda kubaki nanyi ila 10% itazima muda sio mwingi!
Mlale salama wapendwa!!!
Mkiweka picha msizifute jamani, kesho Mungu akijaalia
Jamaniii jamanii...Hahahah muda huu ndo mzuri kutupia maana binadamu nyingi wamelala
Haya na kwako pia
Haha usichukulie poa poaYule babu aweze mie nishindwe kweeelii
Mkuu naona una jumla ya 11M na vichenji. Afu hiyo kofia imeandikwa Tanzania kwa maneno ya kufifia so unafanya kazi serikalini


Nasubiri izime ili niweke nyingineNapenda kubaki nanyi ila 10% itazima muda sio mwingi!
Mlale salama wapendwa!!!
Mkiweka picha msizifute jamani, kesho Mungu akijaalia
tuioneNi yako eeeh?
Ile upo na mtoto hsp..umeisahau?Weka
tuione
Sijakuelewa una maanisha nini ?Yako nitakusaidia kuweka