Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
NdiwoooNaona umefurahi kinoma
NdiwoooNaona umefurahi kinoma
Saaanaaa
Kwa nini eti jamaniUtatapika
Jipimie sasaKuna wakaka wazuri humu jamani
HahahahaKama wewe yani
Acha kabisaKuna wakaka wazuri humu jamani
Vyote tunataka sisiChuma cha nini pesa kwanza
VidevuRangi zao nzuri kweli
Unaweza kukimbia 21kmKwa nini eti jamani
Hahahaha basi acha kesho nitaanzaVyote tunataka sisi
YeahUnaweza kukimbia 21km
Kuna mmoja katupia mikono yake basi mimi hooooiJipimie sasa
Haah usijar ntakuazima siku upigie ata pichaFanya kunikopesha jamani
Yako nitakusaidia kuwekaKhantwe ukiweka picha yako na mimi naweka yangu.
Last time ulikuwa unakimbia mbele yangu...Yeah
Kili Marathon huwa nakimbiaga 21km
Inagoma serious!Nenda katume.
Sina uoga wa maisha wa kuifunga
Nalondagha ujepo kapipi mukamuMbona ndikisa she?
Walondagha imbe bhuleghe?