Hahah kiko hapa..
Kikubwa icho halafu kukitoa nashindwa
Picha yako.Jael ni picha gani hiyo uliyotuma sijaiona [emoji22][emoji22]
Naomba chai dea uwiiiiih, kitafuno nnacho kabisaaah
Nilijiona mti mkavu ila sasa kimenipata kitu,Hivi we si tulikuwa wote kule mwenye miili iliyokosa adabu na utii?
Hicho kitambi imekuwaje?
Hebu nikione.Hahah kiko hapa..
Kikubwa icho halafu kukitoa nashindwa
Nimetimiza ahadi..Nilijiona mti mkavu ila sasa kimenipata kitu,
Nimepata kitambi kikubwa kweli japo nina mwili mdogo ila ukiona ilo tumbo sasa.
Mpaka sasa sijajua nimekosea wapi
Ahsante@DepalWoyooooo
Beautiful melanin [emoji7]
Woyooooo
Beautiful melanin [emoji7]
Waoh,rafiki mzuri mzuri...
Miss you too dear. Za kuadimika?Nimekumiss ujue ww mtu
Toa hako kadude tuone lipstick basiView attachment 1528526shangazi yenu nawasalimia. Teh!
Nzur kipenzi maisha yanatupeleka mbio mnooo ndio maana ,hope uko buheri wa afya,kapicha hadi nitafute hahah sijajipiga kitamboMiss you too dear. Za kuadimika?
Nibariki basi na kapicha 😍
Nimekubali [emoji109]Nimetimiza ahadi..
Usijali Soon utakiona
Karibu RafikiWaoh,rafiki mzuri mzuri...
Asante kwa kuipamba asubuhi yangu.
Anahangaika na Matunda yake[emoji847]