Selfika na JF: Snap it. Show it

Yesu wangu Mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ningekuwa wa kishua ningeshinda shambani??
Halafu ujue nimezaliwa bush Mimi

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani kuzaliwa bush maana yake ndiyo shida? Si ni maamuzi tu hata Bill Gates na mke wake wangeweza amua kutoka marekani na kuja kuzalia bongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…