Selfika na JF: Snap it. Show it


si unaangalia zilizotafsiriwa na lufufu, hapo unakuwa haupati shida ya kusikiliza maneno wala kusoma subtitles wewe ni kuangalia tu actions.

Ila mimi movie zilizotafsiriwa tena za kikorea sijui kihindi haunikalishi chini kutazama hata kwa bunduki, wanakuwaga waongo sana wale watafsiri haki ya nani.
 
Wale ambao huwa wanapiga kelele
"Ooh sijui namna gani fulani,akampiga sijui Nini" hizi hujanikalisha bado.
Naweza nikakaa na nisiangalie Wala kusikiliza chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…