ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Kufua hapana sema kingine chochoteNaomba kifua shem jamani
Kufua hapana sema kingine chochoteNaomba kifua shem jamani
😂😂😂Heri wale waliokwisha kuoa maana vikombe hivi haviwahusu
Ukisikia only for geniuses ndo inakuaga hiviHahahaaa only disciples of this stufss.. Run the world..
Kalugha kagumu ila katamu sana.. wengine wsnakua wanaona minyoo tu
Haahhah unaweza kutamani kujidogoshaHeri wale waliokwisha kuoa maana vikombe hivi haviwahusu
Base tu numbersWoiiii me naona namba namba tu ni Lugha gani hiyo?
Thanks for the love Da 'Vinci 😘😘 ILYToo
Nenile????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mukamu [emoji85][emoji85][emoji85]
Zangu zipo mwambie sakayo akuonyesheWeka tuone.
Na Mimi nitakuonyesha zangu zilipo
FayaaaaaaaaaaChibongeee mwepesi [emoji91][emoji91]
Ohooo.Zangu zipo mwambie sakayo akuonyeshe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haahhah unaweza kutamani kujidogosha
Tamu sana.. kwenye kuzibadiri hapo Herufi kua bits au numbers kua bits. Inavutia
Ipo siku yako utanasa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ungejua nilipooo
JamaniiiKufua hapana sema kingine chochote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Heri wale waliokwisha kuoa maana vikombe hivi haviwahusu
Akii umenibebea mimba.. ngoja nitakuwekea picha usije poromoaNazijua vizuri.
Sasa nimezoea kuziona za huku kwetu zinazotokana,,sembuse nyie.
Hembu tuma Basi jamani
Teh!mida ya kubeba box hii,subiria nikirudi home nikoge then nipake mafuta ndio nipige hiyo pic ya kutupia humuNasubiria
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi umekunywa nini lakini usiku huu mbona unanivunja mbavu zangu hivi??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ule mkono ulining'oa maini
Basi usihangaike njoo piemu uchukueOhooo.
Na Mimi usinidai zangu..
Ukazitafute
Tunanyanyasana Sana jamani[emoji17][emoji3525]Base tu numbers
Bits..
Binary Digits..