Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,478
- 203,135
Kipepe 😂😂🏃vitu vyangu hivi
Kipepe 😂😂🏃vitu vyangu hivi
Kesho naweka.. ila utashindwa kula nyama.. sura yatishaHembu tufidie kwa kutuumiza vichwa.
Mm sikubali Hadi mmetuma picha hapa
Nakuja PM 😛😛Unaenda wapi
Picha yako ikwapi?
Nitumie bhana.Kesho naweka.. ila utashindwa kula nyama.. sura yatisha
😂😂Aiseee
Hujaona picha ya mjeda?
1001001 100000 1101100 1101111 1110110 1100101 100000 1111001 1101111 1110101 100000 1000100 1100101 1110000 1100001 1101100 100000
Sura za waha unazijua zilivyo. Utachoka mwenyeweNitumie bhana.
Sura ngumu mbona kawaida tu
Kwa faida yako na wengine ambao hawakuwekaila umenichekesha eti kwani kuna mnene zaidi yetu humu
Nzur sana za ww uko??Poa kabisaa
Habari za wewe eti
Asanteee kwa kunipendelea namna hiyoNitakugeukia PM![]()
Nazijua vizuri.Sura za waha unazijua zilivyo. Utachoka mwenyewe
Woiiii me naona namba namba tu ni Lugha gani hiyo?1001001 100000 1101100 1101111 1110110 1100101 100000 1111001 1101111 1110101 100000 1000100 1100101 1110000 1100001 1101100 100000
___means
I love you Depal
Heri wale waliokwisha kuoa maana vikombe hivi haviwahusu
Lkn pia ukweli upo
Chibongeee mwepesi 🔥🔥Kwa faida yako na wengine ambao hawakuweka
Naongeza selfie
Chibonge saint Anne ndani ya mjengooooooView attachment 1221082