Umejibu vyema...Bwana alitoa na Bwana ametwaa..Jina lake lihimidiwe.Amen, maisha ni vile unavyoishi leo yako maana hiyo ndio inaonesha kesho yako itakavyokuwa though hakuna aijuaye kesho yake itakuwaje ni kuzidi kumtegemea Mungu na kuenenda yaliyo mema.
Msiba mzito, all in all wote tupo njia moja, apumzike kwa amaniTuko msibani kuandaa mazingira ya kesho kupokea wageni
Umejibu vyema...Bwana alitoa na Bwana ametwaa..Jina lake lihimidiwe.
AmenMsiba mzito, all in all wote tupo njia moja, apumzike kwa amani
AmenAmen apumzike kwa amani daima Former president B. Mkapa
Wajumbe wa Kawe si watu wazuri.#February2017
GWAJIBOY: Mimi siwezi kugombea ubunge kwa sababu nitakuwa nimejishusha chini. Ubunge kwangu ni demotion. Mimi ni mkubwa kuliko mbunge, mimi ni mkubwa kuliko Waziri, Mimi ni mkubwa kuliko Rais. Sema Amen.
WAUMINI: Ameeeeen.!
#July2020
GWAJIBOY: Itoshe tu kusema sasa nagombea ubunge jimbo la Kawe. Kuna watu wanasema eti ubunge ni kujishusha chini. Ngoja niwapasue sasa.
WAUMINI: Pasuaaaaa.!
GWAJIBOY: Ubunge sio kujishusha chini ni kupanua huduma, sema kupanua.
WAUMINI: Kupanua.
GWAJIBOY: Kupitia kanisa nilikua nafikia watu wa Dar es Salaam peke yake, lakini kupitia ubunge nitafikia taifa zima sasa. Napanua huduma. Sema kupanua.
WAUMINI: Kupanua.!
Jr
Watu wamemnyima Gwaji kupanua sasa sijui huduma itaingiaje. Hakika kupanua ni muhimu.#February2017
GWAJIBOY: Mimi siwezi kugombea ubunge kwa sababu nitakuwa nimejishusha chini. Ubunge kwangu ni demotion. Mimi ni mkubwa kuliko mbunge, mimi ni mkubwa kuliko Waziri, Mimi ni mkubwa kuliko Rais. Sema Amen.
WAUMINI: Ameeeeen.!
#July2020
GWAJIBOY: Itoshe tu kusema sasa nagombea ubunge jimbo la Kawe. Kuna watu wanasema eti ubunge ni kujishusha chini. Ngoja niwapasue sasa.
WAUMINI: Pasuaaaaa.!
GWAJIBOY: Ubunge sio kujishusha chini ni kupanua huduma, sema kupanua.
WAUMINI: Kupanua.
GWAJIBOY: Kupitia kanisa nilikua nafikia watu wa Dar es Salaam peke yake, lakini kupitia ubunge nitafikia taifa zima sasa. Napanua huduma. Sema kupanua.
WAUMINI: Kupanua.!
Jr
Huyu simsalimii wala nini.. Kuna mambo kibao ananifanyia hadi siyo poa..Msalimie na yeye mkuu
Huyu simsalimii wala nini.. Kuna mambo kibao ananifanyia hadi siyo poa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huhuhuhuh wee unakula sana lol, poleehDah! Yani ukinipa hicho chakula nile yani ni sawa unipe nusu punje ya mchele nitafune. yani unaishia kwenye meno tu.
Si ndiyo hapo sasa?Hahaa naona hataki kuweka picha zake wakati nyie zenu mnaweka
Hahaha mbona hata wewe unasalimiwa mkuu
Msalimie na yeye mkuu
Huyu simsalimii wala nini.. Kuna mambo kibao ananifanyia hadi siyo poa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa naona hataki kuweka picha zake wakati nyie zenu mnaweka
Msikate tamaa labda ataweka
Kama surprise