Kuna opt mbali mbali. Waweza lichukua google na kumiliki ukawa unaliendeshea ndotoni....
Ama unaweza dunduliza mishahara yako kama mingapi hivi ukanunua, pia kuna opt ya mikopo. Waweza kopa VICOBA, SACCOS ama kwa Bank (s)
Kila la kheri mkuu, ukishamiliki usisahau kapicha