T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Jul 21, 2020 #62,941 Chakorii said: Mimi nimeona kidole na viatu tu.. Click to expand... Akhsante kwa kuona vidole na viatu tu Chakorii Hujambo mkuu
Chakorii said: Mimi nimeona kidole na viatu tu.. Click to expand... Akhsante kwa kuona vidole na viatu tu Chakorii Hujambo mkuu
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Jul 21, 2020 #62,942 Iceberg9 said: Tuone umefikia, wapi Click to expand... Muda huu nipo hapa mecco DV8
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jul 21, 2020 #62,943 T 1990 ELY said: Akhsante kwa kuona vidole na viatu tu Chakorii Hujambo mkuu Click to expand... Karibu. Sijambo kabisa mkuu.. Habari ya safari
T 1990 ELY said: Akhsante kwa kuona vidole na viatu tu Chakorii Hujambo mkuu Click to expand... Karibu. Sijambo kabisa mkuu.. Habari ya safari
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,880 Jul 21, 2020 #62,944 Depal said: Bado nini? Mpe tu Click to expand... Hakuna option ya kutoa like zaidi ya moja kwenye post moja lkn ingekuwepo huyu jamaa mkwepu jr anastahili kupewa like nyingi sana mzee wa likes Bado wewe kuonekana
Depal said: Bado nini? Mpe tu Click to expand... Hakuna option ya kutoa like zaidi ya moja kwenye post moja lkn ingekuwepo huyu jamaa mkwepu jr anastahili kupewa like nyingi sana mzee wa likes Bado wewe kuonekana
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,880 Jul 21, 2020 #62,945 Jurjani said: Poa. Aisee, hivi Hawachi kapotelea wapi ? Click to expand... Mimi namtafuta sana Sakayo Hwa watu sijui wanajichimbia wapi?
Jurjani said: Poa. Aisee, hivi Hawachi kapotelea wapi ? Click to expand... Mimi namtafuta sana Sakayo Hwa watu sijui wanajichimbia wapi?
Greg50 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 1,979 Reaction score 2,494 Jul 21, 2020 #62,946 T 1990 ELY said: CrownView attachment 1512770 Click to expand... Umefuta kisahani
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Jul 21, 2020 #62,947 Greg50 said: Umefuta kisahani Click to expand... Ndiyo mkuu
S std vi JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 296 Reaction score 295 Jul 21, 2020 #62,948 T 1990 ELY said: Muda huu nipo hapa mecco DV8 Click to expand... Msalimie mdada mmoja hivi hapo dv8 mecco amejaxia jazia hivi bila kumsahau da Pendo hapo dukani Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
T 1990 ELY said: Muda huu nipo hapa mecco DV8 Click to expand... Msalimie mdada mmoja hivi hapo dv8 mecco amejaxia jazia hivi bila kumsahau da Pendo hapo dukani Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Jul 21, 2020 #62,949 Chakorii said: Karibu. Sijambo kabisa mkuu.. Habari ya safari Click to expand... Akhsante Habari ya safari ilikuwa njema kabisa namushukuru Mungu nimefika salama
Chakorii said: Karibu. Sijambo kabisa mkuu.. Habari ya safari Click to expand... Akhsante Habari ya safari ilikuwa njema kabisa namushukuru Mungu nimefika salama
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jul 21, 2020 #62,950 T 1990 ELY said: Akhsante Habari ya safari ilikuwa njema kabisa namushukuru Mungu nimefika salama Click to expand... Jambo la kheri mkuu pole na safari.
T 1990 ELY said: Akhsante Habari ya safari ilikuwa njema kabisa namushukuru Mungu nimefika salama Click to expand... Jambo la kheri mkuu pole na safari.
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Jul 21, 2020 #62,951 Chakorii said: Jambo la kheri mkuu pole na safari. Click to expand... Akhsante sana mkuu Upo mwanza?
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Jul 21, 2020 #62,952 std vi said: Msalimie mdada mmoja hivi hapo dv8 mecco amejaxia jazia hivi bila kumsahau da Pendo hapo dukani Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app Click to expand... Haha...sawa ila niwaambie wanasalimiwa na mteja wao nani?
std vi said: Msalimie mdada mmoja hivi hapo dv8 mecco amejaxia jazia hivi bila kumsahau da Pendo hapo dukani Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app Click to expand... Haha...sawa ila niwaambie wanasalimiwa na mteja wao nani?
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Jul 21, 2020 #62,953 SHIMBA YA BUYENZE said: Labda ameenda Beijing kuongezea nondo Click to expand... khaaah!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Jul 21, 2020 #62,954 SHIMBA YA BUYENZE said: Zao gani hili? Ni wazi limelimwa kitaalamu sana na si ajabu walimaji wana mikono laiiini kama ya mtoto mdogo. Kama unabisha weka mkono wako hapa tuone Avatar hii ni spesho leo tu kwa vile ilikuwa Bashite day. Kesho nitaiondoa. Click to expand... Mie sijalilima. Hivi ndio umegoma kutuwekea hapa picha yako?
SHIMBA YA BUYENZE said: Zao gani hili? Ni wazi limelimwa kitaalamu sana na si ajabu walimaji wana mikono laiiini kama ya mtoto mdogo. Kama unabisha weka mkono wako hapa tuone Avatar hii ni spesho leo tu kwa vile ilikuwa Bashite day. Kesho nitaiondoa. Click to expand... Mie sijalilima. Hivi ndio umegoma kutuwekea hapa picha yako?
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,419 Jul 21, 2020 #62,955 Jael said: Mie sijalilima. Hivi ndio umegoma kutuwekea hapa picha yako? Click to expand... Hii hapa. Mwite na Makiseo kabisa. Mtakula matunda mpaka mkome wallaqi
Jael said: Mie sijalilima. Hivi ndio umegoma kutuwekea hapa picha yako? Click to expand... Hii hapa. Mwite na Makiseo kabisa. Mtakula matunda mpaka mkome wallaqi
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Jul 21, 2020 #62,956 SHIMBA YA BUYENZE said: Hii hapa. Mwite na Makiseo kabisa. Mtakula matunda mpaka mkome wallaqi View attachment 1512954 Click to expand... Unahitaji maombi wewe
SHIMBA YA BUYENZE said: Hii hapa. Mwite na Makiseo kabisa. Mtakula matunda mpaka mkome wallaqi View attachment 1512954 Click to expand... Unahitaji maombi wewe
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Jul 21, 2020 #62,957 π€π€π€π€π€π€π€ Saint Anne said: Hata sijui Click to expand...
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,419 Jul 21, 2020 #62,958 Jael said: Unahitaji maombi wewe Click to expand... Maombi kwa ajili ya kuwalisha matunda? Kha !!!
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jul 21, 2020 #62,959 SHIMBA YA BUYENZE said: Hii hapa. Mwite na Makiseo kabisa. Mtakula matunda mpaka mkome wallaqi View attachment 1512954 Click to expand... Sijui nikusaidie kuweka picha
SHIMBA YA BUYENZE said: Hii hapa. Mwite na Makiseo kabisa. Mtakula matunda mpaka mkome wallaqi View attachment 1512954 Click to expand... Sijui nikusaidie kuweka picha
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jul 21, 2020 #62,960 Jael said: Click to expand... Nimesikia ameenda kumtafuta Lizarazu