Mmmmmmh vibaya hivyo, usingeaga wee ungemueleza tyuh kuwa hapana huusiki na hayo mambo, angekuelewa, ulivoaga ndo ukamfanya a feel worry, na anaweza asiwe na amani juu yako. Hebu tupendane wanadamu mapungufu yapo tyuuh.

Sio vizuri kweli wee zungumza nae ki staarabu atakuelewa tyuuh, hakuna hata shida sema watu wa kawaida mnachukulia negativity way, inakua tatizo. Mmmmmmh