Basi mimi naombaAkiomba mwingine sawa,ila wewe unajua mpk idadi ya nywele zangu
unajua mapengo yangu yamekaaje,unajua nina ngeu ngapi usoni yani
Juu aombe mwingine ila wewe una homework zangu kbao hujazfanya.
Za masiku nzuri sana,Halafu sijapotea mbonaBasi mimi naomba
Kwanza umepotelea wapi we kiumbe
Bado pal, I said nataka kwa juu π
πππZa masiku nzuri sana,Halafu sijapotea mbona
wewe mwenyewe shahidi ktk hili,kwenye hilo
ombi lako labda atokee mwingine wa kuomba
lkn wewe ntaomba urejee pm ya Jan 22, 2020
[emoji2296][emoji2296] [emoji85][emoji85] sasa mbona mbali huko jamani hii ni june eti ujueZa masiku nzuri sana,Halafu sijapotea mbona
wewe mwenyewe shahidi ktk hili,kwenye hilo
ombi lako labda atokee mwingine wa kuomba
lkn wewe ntaomba urejee pm ya Jan 22, 2020
Achana nae dea, muambie aniulize mie mwenyewe kwan hanioni, na anataka kujua jinsia yangu ili iweje? asikusumbue huyo kinyago cha mpapure, mwanaume anakuwa na tabia za mwanamke mjane aliyeporwa mali na ndugu wa mumewe, khaaaah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karibu Pepsi au angalieni funguo ya Toyota πKaribu pepsiView attachment 1490356
Ni mbali lakini nikikupa nauli si unafika et?[emoji2296][emoji2296] [emoji85][emoji85] sasa mbona mbali huko jamani hii ni june eti ujue
ukithubutu kutuma yako ya juu hapa Pal.. .. ..Bado pal, I said nataka kwa juu π
Ninazo zote unazozijua.Samahani wewe jinsia gani?
Hahahaha.....Depal bhanaKaribu Pepsi au angalieni funguo ya Toyota [emoji125]
Sina picha pal, ujue hapa nasurf na PC ya kijiji?ukithubutu kutuma yako ya juu hapa Pal.. .. ..
mimi natuma full kuanzia unywele had ukucha.. .. ..
Haha nimeona tu funguoHahahaha.....Depal bhana
Kwa hiyo umeona ufunguo wa Toyota tu?
unanijua vizuri,tunatofautiana nn sasa?Sina picha pal, ujue hapa nasurf na PC ya kijiji?
We tupia bana tuone kiwalaza hicho π
Hahaunanijua vizuri,tunatofautiana nn sasa?
nipo cafeeee hapa,si wanijua tena.. ..