[emoji23][emoji23][emoji23]ilà sis darling umekuwaje?Kuna siku nilicheka hadi basi. Huyo mpare wako alicomment eti on a first date; dada akija anaruhusiwa tu kunywa kinywaji; hakuna kununuliwa msosi hadi 2nd date (obvious mambo yakishatick). Nikasema shikamoo mpare
Ewaaa, wewe unaelewa sana.!!![emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] oohh kwahiyo hapa tuchukulie kuwa in every general rule there's always an exception
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] momma knows best, momma is always right.Hahaha unajua kabisa kuwa mama ananisingizia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Ewaaa, wewe unaelewa sana.!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna siku nilicheka hadi basi. Huyo mpare wako alicomment eti on a first date; dada akija anaruhusiwa tu kunywa kinywaji; hakuna kununuliwa msosi hadi 2nd date (obvious mambo yakishatick). Nikasema shikamoo mpare
Huyo Khantwe ni shindikana long time kitambo.Mmhh hapana Heaven Sent hajakufikia kwa majibu unamsingizia. Bora hata ungeniambia unatoa kwa Khantwe ningekubali.
Cc Saint Anne
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo namba 2 uliyem-mention ni balaa na nusu
Siku moja moja una akili sana.[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] momma knows best, momma is always right.
Shee hiki chakula mbona hakieleweki?
Sawa shetani.Pengine cha shetani shee [emoji125][emoji125][emoji125]
Dah kwahiyo siku nyingine sinaSiku moja moja una akili sana.
Sijasema hivyoDah kwahiyo siku nyingine sina
Frampeniiiii ka mshua wangu na accent ya ukanda wa ziwa.Haha hiyo ni kawaida mkuu maana hiyo crips ni kibongobongo. Ni kama tu tulivyozoea kusema frampeni badala ya frying pan.
[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]Sijasema hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Frampeniiiii ka mshua wangu na accent ya ukanda wa ziwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jizazi, sikuona jamnai. Aaah huu sasa ni next level[emoji134][emoji134][emoji134]
Yaani acha tu, huyu mtu ni changamoto, uvumilivu unakaribia kunishinda.