Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zoë umejua sasa majibu natoaga wapi eeh?
Mweeeh! [emoji134][emoji134][emoji134]Mgomo baridi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah nimemiss haibaMissed too swts; za haiba?
Mimi nasingiziwa jamani, hayo majibu umerithi kwa baba yako. Maana kile kichwa sijawahi kukielewa.Me sijui unayatoaga wapi ili ndo umenirithisha
[emoji23][emoji23][emoji23]tulifanyie kazi nalo litaisha tu swty!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila afadhali wewe mrefu, ila ubahili tu ndio tatizo babe[emoji3590]
Sawa babe[emoji3590][emoji23][emoji23][emoji23]tulifanyie kazi nalo litaisha tu swty!!
Yupo tena wako wengi mno.Kumbe ni halisi
Kuna mtu ambaye unamfaham naye anaitwa hivo au ni unique tu
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] oohh kwahiyo hapa tuchukulie kuwa in every general rule there's always an exception[emoji23][emoji23]we haya tu!
Ilà sio wafupi bwana, ni vile watu wamekuwa na perception hiyo ilà kuna giants wengi tu na shotii pia wapo wengi tu.
Haha hiyo ni kawaida mkuu maana hiyo crips ni kibongobongo. Ni kama tu tulivyozoea kusema frampeni badala ya frying pan.Inawezekana kweli alikuwa hawezi kutamka,mimi mpaka leo kutamka neno crisps ni mtihani najikuta nimesema crips.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya sasaHata mimi sijawahi kuona mpare mrefu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila afadhali wewe mrefu, ila ubahili tu ndio tatizo babe[emoji3590]
[emoji85][emoji85] hellowHahaha you two...!
[emoji85][emoji85] hellow
Mmhh hapana Heaven Sent hajakufikia kwa majibu unamsingizia. Bora hata ungeniambia unatoa kwa Khantwe ningekubali.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zoë umejua sasa majibu natoaga wapi eeh?
Huyo namba 2 uliyem-mention ni balaa na nusuMmhh hapana Heaven Sent hajakufikia kwa majibu unamsingizia. Bora hata ungeniambia unatoa kwa Khantwe ningekubali.
Cc Saint Anne
I miss you tonsHello babes
I miss you tons
Bado nasubiri picha eti, naomba tu usiniambie niendelee kumtazamia Bwana.
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki ya nani aiseeeHuyo namba 2 uliyem-mention ni balaa na nusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah basi dada yaishe, haya majibu nisije nikaanza kuamini kauli ya mama yako.Hahaha unajitabiria jibu kabisa. Basi endelea kuchochea karama yako ya "uvumilivu". Missing you loads
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah basi dada yaishe, haya majibu nisije nikaanza kuamini kauli ya mama yako.