Nakupenda kaka yangu lakini jitahidi ufikie levels za wasukuma.Nilijua unanipenda mdogo wangu, kumbe dah!!![emoji24][emoji24][emoji24]
Hebu fafanua hapo pa Shaboka's tafadhali.Pale wanaposalia Shabokas.
Rose na Nick pia usisahau.
All in all wasukuka wasimuangushe role model wao.
Penda mingi mingi mie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba hii siyo ajira we fundisha tu unavyowezaMm si mwalimu mzuri lakini
Oohh pale kwa hao wachungaji, duuh.Pale wanaposalia Shabokas.
Rose na Nick pia usisahau.
All in all wasukuka wasimuangushe role model wao.
Penda mingi mingi mie
Wanasalia Kebbys.Hebu fafanua hapo pa Shaboka's tafadhali.
Mweeeeh!!Wanasalia Kebbys.
Inasemekana hapo msukuma alihonga.
Wapare wa wapi hao na matembele, tunakula nyama hatari, hivi nikutafutie mdogo wangu uthibitishe?
Hivi kaka eti ni kweli kuwa wapare wote ni wafupi ??Wapare wa wapi hao na matembele, tunakula nyama hatari, hivi nikutafutie mdogo wangu uthibitishe?
Hahaha wapi tena,ulikuwa hujui kusema soksi nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulivoandika 'soski' umenikumbusha mbali
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Hivi kaka eti ni kweli kuwa wapare wote ni wafupi ??
Hivi kaka eti ni kweli kuwa wapare wote ni wafupi ??
[emoji24][emoji24][emoji24] sio kweli![emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
MmmmmmhSipendi majaribu mimi, haki zitakuwa dhambi zako mwenyewe.
We ghuna tu!Mmmmmmh
amu inaonyesha unatujua vizuri wasukuma
Habari za mida JaelWe ghuna tu!
Salama Ely!Habari za mida Jael
Sawa [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]amu inaonyesha unatujua vizuri wasukuma
Ebu agiza chochote hapo ulipo mwambie atakaye kuhudumia bili kwa msukuma