Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20200619_134111_1.jpg
 
Kila j2 nilikua nikipanga niende st.Joseph hapo napotea vichochoro.. kuna siku nilitokezea geti la ikulu. Niliacha kwenda na nikirudi hapo sijui kama nitaikumbuka njia kutokezea kwenye hilo jengo kwa kutokea Darajani markiti

Vichochoro vinachanganya, vinafanana sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe umeiona[emoji134][emoji134]
Nilimpostia Makiseo i think aliiona
Huwezi amini Dear..
Sijaiyona hata.. na notification naona siku hizi sipati zote.. comment yenyewe ndiyo naona saa hii..
Tukutane PM Dyadya.. Roho inaniuma hatari..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We unafichwa huko hadi unatusahau huku!! Saint Anne njoo umpe picha dada.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sikupata Notification jamani.. na hata hapa nimepita nilikuwa naupitia uzi ndiyo nikaona umenitaja..
Saint Anne hata usimwite alishasema Dadake ni Mzembe[emoji28]
Nipe tu wewe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom