Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,722
- 182,769
Uliweka?Akija naweka.
Uliweka?Akija naweka.
@amu ukuje hapa.Aah wapi hakuweka
Michi yuh more[emoji7][emoji7]Hivi bado hujaacha ubishi??
Nitakuja nikuletee robertson wine unywe tuone..
I mishi you[emoji847][emoji847][emoji8][emoji8]
Ndiyo wamekuachia saahiiMichi yuh more[emoji7][emoji7]
Ulipotea wapi Jamani [emoji7]
Msimamo wangu wa kutokulewa ni uleule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo wamekuachia saahii
Soma sisi bado tunalimaYaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya maisha ya kutoka kulima halafu unarudi shule ni magumu Sana..sema nimetoka kwenye kipindi mwalimu anachekesha hatari..full kucheka tu sitaki Shida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rudi shule weweSoma sisi bado tunalima
Umri umeshaenda dogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rudi shule wewe
Hivi wewe andaeitini utaacha lini kulilia ukubwa?Umri umeshaenda dogo
Me nimetoka shamba we umeoka pindi nani mkubwa sasaHivi wewe andaeitini utaacha lini kulilia ukubwa?
Tulia dogoMe nimetoka shamba we umeoka pindi nani mkubwa sasa
We lima utuletee mjini, hatuwezi kulima woteShamba cassava// tulime jameni ina hela sana View attachment 1474052
Weka yako basikitambo mbona Hamna picha kuna maneno tuu?
Kuna kijana anamficha sana mdogo wanguNdiyo wamekuachia saahii