Hahahah hata mie wakati najifunza nilisema sitalewa. Nikafuata taratibu zote. Nilianza na Whisky "Imperial Blue" ina 42% vol. alc! Nilianza saa 11 jioni na wana.Nafikiri ujiandae tu kumrudishia pesa maana mwenzetu keshasema ye halewi. Afe mmasai afe mmang'ati yeye halewi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nafikiri ujiandae tu kumrudishia pesa maana mwenzetu keshasema ye halewi. Afe mmasai afe mmang'ati yeye halewi.
Eeh mi nataka uchukue hio hela.🤣🤣🤣Unataka unipe hiyo Dompo uone ninavyoondoka na Hiyo 15000/=?
Basi Mimi siwezi bossHahahah hata mie wakati najifunza nilisema sitalewa. Nikafuata taratibu zote. Nilianza na Whisky "Imperial Blue" ina 42% vol. alc! Nilianza saa 11 jioni na wana.
Nilibugia toti kwa kuzimix na Ginger Ale. Kilichotokea niliamka the next day saa 5 nikiwa nimetapika makongoro yangu kila upande wa chumba. Sikujua hata ndani niliingiaje maana tulikuwa kwenye garden.
Pombe sio chai.
OkeeEeh mi nataka uchukue hio hela.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe sikupi whisky, nakupa wineBasi Mimi siwezi boss
Nipe chochote tu kisicho kibaya .Wewe sikupi whisky, nakupa wine
Utachagua baina ya Dompo ama Smirn off Ice chupa 3!Basi Mimi siwezi boss
Smirn off tamu kama nanasi 🤣🤣🤣Nipe chochote tu kisicho kibaya .
Vitu vibaya siviwezi..
Wewe weka mezani pombe yoyote tamu yenye kilevi kikubwa.
Silewi mimi
Mimi sizijui boss.Utachagua baina ya Dompo ama Smirn off Ice chupa 3!
Msimamo wangu ni ule ule.Smirn off tamu kama nanasi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Smirnof tamu tamu sana. Nakumbuka mazA angu aliendaga kwa harusi akawa hajui akaipiga hii akizani ni aina za soda alirudi anaongea sana halafu hajui kama amelewa haahhahahahaa toka siku hio anaikubali sanaSmirn off tamu kama nanasi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa tutakutana tufanye yetuMsimamo wangu ni ule ule.
Siwezi kulewa
Kunywa siwezi mkuuSawa tutakutana tufanye yetu
Hio ni noma mkula uzuri hakunywa chupa zaidi ya moja. Angeleta comedy zaidi ya hapo! 🤣🤣🤣Smirnof tamu tamu sana. Nakumbuka mazA angu aliendaga kwa harusi akawa hajui akaipiga hii akizani ni aina za soda alirudi anaongea sana halafu hajui kama amelewa haahhahahahaa toka siku hio anaikubali sana
Si umepewa ofa huko juu. Tusiongee sana aise.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mkinishinda bado Mimi nabaki na msimamo wangu.
Siwezi kulewa
Sasa utaniaminisha vipi hulewi ikiwa hutaki kunywa?🤣🤣🤣Kunywa siwezi mkuu
Ila kulewa siwezi pia
Siwezi kunywa..Si umepewa ofa huko juu. Tusiongee sana aise.
Siwezi kulewa Mimi jamani..Sasa utaniaminisha vipi hulewi ikiwa hutaki kunywa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]