Selfika na JF: Snap it. Show it



Aahahahahahaa sijisifii ila sijawahi kumuomba hela Dadii, kuna sauti nikiitumia na taswira ya uso inavyokuwa anajua kinachohitajika. Naletewa vitu, pesa na mahaba juu.

Kiukweli mapenzi bila ubunifu yanaboa, yanachosha hasa baada ya kuzoeana. Na ubunifu ukubalike pande zote, mwingine ukimfanyia ubunifu anakwambia ndo nini hio acha uhuni.....

Thanks for my Dadii, he is my sweet Jam and am his Cheese..... We munch each other while sandwiching....

K' Mahaba.
 
Kwa lecture hizi na me nikiiga, wallah neno "kuachika" nitaishia kulisikia redioni.
mam kubwa
 
Kasie kila kitu yeye ni mbobezi, enzi za ujana wake tho bado hana uzee ule ila fujo tu, enzi zake anakuambia alikua hakuna gari barabarani linampita, yeye na mafujo kama yote,

Aahahahahahhaaaa

Nilikuwa mpole sanaa aiseeh hata siongei nilikuwa mkimyaaa.....

Basi tuu walimwengu wakanidukua tangu hapo ndo Matata yakaanza aahahahahahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…