😀😀 Utoe basi huo mkosi
😀😀 Utoe basi huo mkosi
#polenahongeraHa ha
#mfungowamwakahuu
#umenipelekasiomchezo


Hahah huyo nilikuwa nampa chenga ya mwili hakuna cha Pm wala niniNa mimi![]()
Hahah huyo nilikuwa nampa chenga ya mwili hakuna cha Pm wala nini
The only thing to fear is fear itself






Hahah mie na wewe tunawezana sana tu...
Yaani mimi siwezani na wewe,khaa!![]()
Kama stress zinarudi Basi haifai...
Kama stress zinarudi Basi haifai...
Nikufundishe mbinu rahisi ya kupunguza stress bila kupata gharama?
Sent using Jamii Forums mobile app
😀Ulipo Nipo bae
Nakusubiri home sweet home
Yaani na huu ubishi,mwee🙆🙆Hahah mie na wewe tunawezana sana tu...
The only thing to fear is fear itself
Nimeipenda hii, motivated kuingia kwenye kilimo cha mazao ya nafaka, for now ninahangaika na miti tuu
Mie na wewe wote ni kama wabishi tuYaani na huu ubishi,mwee![]()
Wewe umenizidi kwakweliMie na wewe wote ni kama wabishi tu
The only thing to fear is fear itself
Basi nimekuzidi kidogo mno....Wewe umenizidi kwakweli
Hahaa!hata mimi naona imekuwa hivyoBasi nimekuzidi kidogo mno....
Nachoona mie na wewe suala la kutuma picha humu limekuwa gumu sana kwetu.....
The only thing to fear is fear itself
Hahah kama ni hivyo tusidaiane tena mana sijaona mtumaji kati yetu...Hahaa!hata mimi naona imekuwa hivyo