Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Hakuna mumy! Ni wewe tu![emoji8]Sasa nisipokupa raha mimi atakupa nani kipenzi cha moyo wangu?
Sawa Annie... NakutumiaNasubiri mwaliko kwa hamu[emoji847]
Natanguliza shukrani zangu za dhati[emoji7][emoji3526]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2] nilishaweka mbona
Mimi sikuona[emoji2][emoji2] nilishaweka mbona
Ha haAnayekuficha wewe na mzee mwenzio mwambie sio poa
#tunaotesekanisisi
😀Maskini mdogo wangu
Leo unapitwa kizembe Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Minal faidhinnah bae... Eid mubaarak
[emoji2][emoji2]
Ahsanteee baeMinal faidhinnah bae... Eid mubaarak
Ulipo Nipo bae[emoji23]Ahsanteee bae
Naona mmehamisha kijiwe [emoji23]
Narudi nyumbani kula Eid